Posts

Showing posts from August, 2022

SHUKURANI

  KUTAFAKARI NI SHUKURANI   “ Hatimaye, ndugu zangu, mambo yo yote yaliyo ya kweli, yo yote yaliyo ya staha, yo yote yaliyo ya haki, yo yote yaliyo safi, yo yote yenye kupendeza, yo yote yenye sifa njema; ukiwapo wema wo wote, ikiwapo sifa nzuri yo yote, yatafakarini hayo.” ‭‭Flp‬ ‭4:8‬ ‭SUV‬‬   Ninapoweka mda wa kutafakari, kufikiri mambo yote mema, vitu vyote vyema, maneno yote mema ambayo Mungu, Bwana, Mfalme, Roho Mtakatifu, na Baba yetu ametufanyia na kututendea ni Kutembea katika Moyo wa Shukurani, kwani huwezi kutafakari pasi na kuzingatia.  Na hii ni pamoja na mambo yote mema, vitu vyote vyema ambavyo Wana wa Mungu na watu wanavyotutendea na kutufanyia. Kutafakari Ni Shukurani  Kuzingatia Ni Kuonesha Umuhimu Na Uthamani  “ Alipozingatia moyoni mwake, alisema, Ni watumishi wangapi wa baba yangu wanaokula chakula na kusaza, na mimi hapa ninakufa kwa njaa. Nitaondoka, nitakwenda kwa baba yangu na kumwambia, Baba, nimekosa juu ya mbingu na mbele yako; s...

My Daily Bread 04

  Keeping persisting on the Word, keep reading it, align your self with the Word. Under the leadership of Holy Spirit, you will get to be unveiled of so many precious things, promises, blessings and gifts of the Spirit which are expediency to you. For the     Word of God is Life, Spirit and forever settled. Holy Spirit through prophet Isaiah tell us in; Isaiah 55:10-11 "For as the rain cometh down, and the snow from heaven, and returneth not thither, but watereth the earth, and maketh it bring forth and bud, that it may give seed to the sower, and bread to the eater:So shall my word be that goeth forth out of my mouth: it shall not return unto me void, but it shall accomplish that which I please, and it shall prosper in the thing whereto I sent it." As your understanding grow its where you will continue to go deeper and deeper into the things of Spirit, Apostle call them "Secrets/mystery". Chose to be the Son of Word  ❤️ NB: "Nothing can ever beat nor resist th...

My Daily Bread 03

  In the gospel of John 1:1-4, The word is revealed of what it is; apostle John tells us the Word is God Himself. And there's nothing that wasn't made by the Word (God), and therein is LIFE. What it meant is that as A Son to reign in the Kingdom of God here down the earth on every sphere of life you need the Word. Getting right understanding of it is not an option it's necessary, why? Because the Word is Lfe, no Word - no Life! And apostle Paul add this on Hebrew 1:3, that by the Power of His Word, Jesus Christ upholding and finishing everything (our redemption and bring us into His glory). Thus the Word is our daily bread, everywhere, anywhere and wherever, it's our Life, Power, Understanding, Wisdom, Revelation, Truth, Protection, Provision, Anointed Seed etc you may name it.  Chose to Be the Son of the Word  ❤️ NB: "Getting Right Understanding of it is not an option it's necessary as a Son."

The Word Is My Daily Bread

Image
  Apostle James tells us in James 1:25; that a son who look into and continually being consistently therein (WORD). He says this Son shall be blessed in his deed. Why ? Simply because: He dwell in the Word, He feed up on the Word, He abide in the Word Consistently. Hence He is blessed in all his deeds, for this Son not only he is the son of Word but also of Prayer! For its where he unlock the keys and riches of his success. Chose to Be a Son of the Word. The Spirit of Grace and Supplication is up on You. ❤️

NENO CHAKULA CHA MWANA

Image
  Shalom! Mwana na Urithi wa Mungu Baba, ni faraja yangu kwako kuwa na furaha tele, amani, kicheko, shangwe katika kila eneo la maisha yako, itokanayo na Ufahamu wa Maarifa Sahihi ya Neno la Mungu Baba, Neno la Kristo (Ujumbe wa Ufalme).   Nipende kukukaribisha katika jukwaa na ukurasa huu ambao tutakuwa tunashirikishana na kupeana MKATE WETU WA KILA SIKU (Yakobo 1:22-25) na nipende kukutia moyo kuwa hapo hapo ulipo katika hali hio hio na ufahamu huohuo ulionao Mungu Baba yetu anashauku nawe, anakutazama, anakusikia na kuzungumza nawe.  Neno ni Uzima Wetu Wana  Neno ni Afya Yetu Wana  Neno ni Maarifa Yetu Wana  Neno ni Hekima Yetu Wana  Neno ni Nguvu Yetu Wana  Neno ni Mamlaka Yetu Wana……