NENO CHAKULA CHA MWANA
Shalom! Mwana na Urithi wa Mungu Baba, ni faraja yangu kwako kuwa na furaha tele, amani, kicheko, shangwe katika kila eneo la maisha yako, itokanayo na Ufahamu wa Maarifa Sahihi ya Neno la Mungu Baba, Neno la Kristo (Ujumbe wa Ufalme).
Nipende kukukaribisha katika jukwaa na ukurasa huu ambao tutakuwa tunashirikishana na kupeana MKATE WETU WA KILA SIKU (Yakobo 1:22-25) na nipende kukutia moyo kuwa hapo hapo ulipo katika hali hio hio na ufahamu huohuo ulionao Mungu Baba yetu anashauku nawe, anakutazama, anakusikia na kuzungumza nawe.
Neno ni Uzima Wetu Wana
Neno ni Afya Yetu Wana
Neno ni Maarifa Yetu Wana
Neno ni Hekima Yetu Wana
Neno ni Nguvu Yetu Wana
Neno ni Mamlaka Yetu Wana……
Comments
Post a Comment